Staa was filamu Bongo Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri.
Rose alisema kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya MTU azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka.
Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao;asikwambie mtu hamna kitu kizuri kama kuitwa mama na nimejitunza na nimezidi kuwa mrembo hata baada ya kuzaa"alisema Rose
Jumatatu, 31 Machi 2014
Rose Ndauka:Siwezi kuzeeka
Kajala na skendo ya kujiuza China
Staa was sinema za kibongo Kajala Masanja ameitolea mbavuni skendo ya kujiuza nchini China inayowatafuna mastaa wengi was kike Bongo
Kajala ambaye mara kwa mara amekuwa akisafiri kwenda nchini China.
Amesema kuwa China "nakwenda kwa pesa zangu na huwa nalipa dola 5000(business class) Nina dili zangu za kikazi na so kujiuza kama wapo wanaofanya hivyo no wao na sio mimi
Jumamosi, 29 Machi 2014
Picha za Utupu
Mapema wiki hii jarida la The Mirror la Uingereza lilibua tetesi kuwa mama was mwanamitindo Kim Kardashian' Kris Jennes ameamua kupiga picha za utupu kwenye jarida maarufu la picha hizo la Play Boy
Chanzo kimoja cha habari kimesema Jenner mwenye miaka 58 bado anaonekana yuko kwenye umbo zuri katika maisha yake na ana mpango wa kulionyesha kwa kila mtu
Hivi karibuni mama huyo aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram iliyomuonesha akiwa amevalia bikini
Rihanna&Drake wazidi kujianika
Wanamuziki Rihanna&Drake wamezidi kuudhirisha uma kuwa wako pamoja baada ya kuonekana wakitoka kablu pamoja jiji London wakiwa wameshikana mikono huku ikionekana Chris Brown hana chake.
Wawili Zhao walionekana wakitoka kablu ya Tramps na Drake akionekana mwenye furaha akiwa amemshika mkono Rihanna wakati wakiwakimbia wapiga picha waliokuwa wakiwafuatilia.
Mmoja wa mashuhuda amesema wasanii halo wana mapenzi ya kweli kati yao. "Drake anaishi ndani take lakini Rihanna ndio kazama kabisa kwenye mapenzi hayo
Drake in mwanaume tofauti kuliko alivyokuwa mwanzo;maneno ya shuhuda huyo
TREY SONGZ NI SHOGA
Habari zilizopo kwa sasa kwenye mitandao mingi ni kuhusu Trey Song kuzushiwa taarifa za ushoga na amezikana mwenyewe kuwa Luna mtu wa karibu kuwa ndo aliyepost habari hiyo kwenye akaunti take ya Twitter kuwa si kweli kuhusu hilo